Upo sahihi aliepanga ratiba kama hakuingiliwa na msemaji badi aliboronga sana kwenye ratiba..
Tamasha kama tumetoka kwenye ukumbi wa harusi saa sita kasoro na usafiri tizi kinoma au ndo kuingia gharama za kuita uba na boda za 25000 kufika Mwenge?
Kama kwa mabadiliko ya timu nzima na spiriti ikashuka mpaka red card basi lazima tujitafakari sana kwenye michezo ijayo hasa klabu bingwa na baadhi ya ligi kuu.
South Africa ni kama tulicheza na timu za daraja la chini kuondoa ile timu ya ujerumani FCA.
Ndio maana ni kama tulilewa sifa kuwa...
Ikiwa ni sahihi kwa kibu kichwani mwake basi mpira wake umefika mwisho anatafuta pa kutolea lawama tu.
Alimaliza mkataba akadengua akatongozwa akakubali kwa nini atoroke? Si ni bora angekataa kuongeza mkataba leo angekuwa free bila kinyongo na wadau?
Hata cheza mpira kwa mgogoro huu ukijumlisha...
Mwamba unaandika speed uelezi hoja yako kwani woote tulikuwa na wewe huko uwanja wa taifa??.
Eleza kisa ili wenggi wajue na kufatilia na kusaidia katika kuchangia mada hii inayoonekana nzuri isipokuwa mwandishi kaiandika akiwa anakimbizwa
Mwamba kachemka
Uchezaji na falsafa ya hii timu tofauti na alikotoka.
Yupo wapi skudu aliecheza huko kwao mechi nyingi mchezaji mzuri kaja kwetu kawa garasa!!!
Huku majeruhi usipate uwe kama mayele au KI AZIZ hapo utashainiii
Nitachangia kama ulivyosema lkn ninadhani kubaki kwa matora kunaweza kuwa ni uzoefu wake katika timu kwa ajili ya kumpookea na kumfanya kocha mpya asiwe kama kwenye kisiwa kisicho na watu bali awe mwenyeji wake katika timu.
Hakuna mchezaji wa kudumu hiyo sio klabu ya familia. Mchezi huja na kuondoka.. Chama asipoenda timu nyingine ipo siku atastaafu na hato cheza mpira...
Hii inamaana kinachouma wanasimba sio kuondoka kwa chama ila ni chama kusemekana anaenda yanga..
Ikiwa ni hivyo basi uongozi wa simba usifanye...