Search results

  1. JimNicklaus

    VITU VYA KUZINGATIA UKITAKA KUNUNUA HISA

    1. Nunua hisa za kampuni inayoongozwa kwa Umakini na Uadilifu. 2. Usiongozwe na hisia, Ongozwa na namba 3. Nunua Biashara nzuri kwa bei poa. 4. Usiuze hisa kwasababu ya bei kubadilika 5. Nunua hisa za kampuni inayokua kwa zaidi ya miaka 10 Ijayo 6. Nunua hisa ambazo bei yake ni...
  2. JimNicklaus

    Mfahamu Tajiri Mpya barani Asia

    Achana na Jack Ma' ama Mukeshi Ambani ambao kwa miaka ya hivi kwa nyakati tofauti walitambulika kama watu tajiri zaidi barani Asia, kwasasa wote hawapo kwenye kiti hicho. Kiti hiko kwasasa kina Mfalme Mpya aitwae Guatam Adani ambaye kwa hesabu za Forbes kufikia 03 Februari 2022 alikuwa na...
  3. JimNicklaus

    Ligi Kuu Thread

    Uzi maalumu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
  4. JimNicklaus

    AFCON Thread

    Uzi maalumu kwa ajili Matukio yote ya kombe la mataifa ya Afrika
  5. JimNicklaus

    DSE Maarifa Hisa Kiganjani

    LA MGAMBO LIKILIA ..KUNA JAMBO..DSE inakuja tena na shindano jipya kabisa la DSE Maarifa Hisa Kiganjani linatoa fursa kwa umma kwa jumla kujifunza masuala ya uwekezaji kwa vitendo ya dhamana ( HISA na HATIFUNGANI) zilizopo ndani ya Soko la Hisa la Dar es Salaam.. USIPITWE NA HILI kua mmoja wa...
  6. JimNicklaus

    Shindano la uwekezaji la DSE kwa wanafunzi

    LA MGAMBO LIKILIA ..KUNA JAMBO..DSE inakuja tena na shindano pendwa kwa wanafunzi la Scholar Investment Challenge lakini vile vile na fursa ya umma kwa jumla kujifunza masuala ya uwekezaji kwa vitendo ya dhamana ( HISA na HATIFUNGANI) zilizopo ndani ya Soko la Hisa la Dar es Salaam..USIPITWE NA...
  7. JimNicklaus

    Umeelewa nini kwenye picha hii?

    Weka under 1.5 mechi iishe 13:0 😂😂
  8. JimNicklaus

    Muenendo wa Hisa za Bank ya CRDB

    CRDB itaendelea kufanya vizuri
  9. JimNicklaus

    Unatumia kampuni gani kubeti?

    Betpawa na bonus zao wanakuvutia uongeze cha nyongeza tu bonus ipande hadi mkeka uchanike 😁😁
  10. JimNicklaus

    Thread ya memes za Cryptocurrency

    Dodondosha meme yako kali ya crypto kwny comments chini hapo.
  11. JimNicklaus

    FPL Players Price Changes

    Price Rises! 💷 #FPL ⬆️ Lamptey £4.5m ⬆️ Salah £13.1m ⬆️ Alexander-Arnold £8.1m ⬆️ Bernardo £7.5m ⬆️ Wilson £7.5m ⬆️ Reguilón £5.3m ⬆️ Dennis £5.6m Price Falls! 💷 #FPL ⬇️ Mac Allister £5.3m ⬇️ Hannam £3.9m ⬇️ Gbamin £4.4m ⬇️ Shackleton £4.4m ⬇️ Mané £11.9m🚨 ⬇️ Djenepo £5.2m ⬇️ Cathcart £4.3m ⬇️...
  12. JimNicklaus

    TOVUTI UNAZOWEZA KUUZA NA KUNUNUA CRYPTO (Sehemu ya Kwanza)

    Niaje wadau leo nawasogezea jukwaa mojawapo unaloweza kuuza na kununua Sarafu za kidijitali (Cryptocurrencies) kwa urahisi zaidi. LOCALBITCOIN Jukwaa hili unaweza kununua na kuuza cryptocurrency kupitia mawakala wanaopatikana humo. Sarafu unazoweza kununua kupitia mtandao huu kwa sasa ni...