Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Mshambuliaji Wa Klabu Ya Yanga Prince Dube Utamwambia Nini?

Sanzey Jr.

Mgeni
Oct 28, 2024
1
1
5
Uyu sio mshambualiaji hatar sana isipokua pale azam ndo ilikua kama kioo kaja team ambayo inawatoa huduma zote za kimpira lakn bado anapata ugum yanga kila mchezaj anakupa Magor kwaiyo ningum sana kumsubil dude kama alivyokua azam
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

yuz

Mpiga Chabo
Oct 28, 2024
1
1
0
Cheza katika nafasi yake awe na usahihi wa kulenga gorini ili cku anapopata nafasi iwe ni ishara kuwa anahuduma nzuri
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Enck Jr

Mgeni
Oct 22, 2024
19
1
5
Singida
Dube Bado anapresh ya kufunga goli akiwa mchezoni ila so tatizo atafunga magoli mengi San hapo yanga anaanza tareh 30 dhid ya singida dube tumpe mda kidgo