Recent content by Abby08

  1. A

    FT : Yanga SC 0 Al Hilal 2 | Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?

    Nikawa nawaza au kwasababu mechi imepewa jina la dube?😅 kaitia mkosi Mana Huwa Hana bahati na magoli, nikawaza au tatizo liko Kwa wachezaji pia?, Nikawaza au mbinu alizotumia kocha Bado hajawa na muunganiko mzuri na squad yake? Nikawaza au playing style ileile alotoa ibenge dhidi ya nabi ndo...
  2. A

    FT : Simba SC 1 Al HILAL 1 : Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Mechi nzuri, challenge nzuri Kwa wachezaji, Nina Imani technical bench watafanyia kazi makosa madogo pamoja na kufanya marekebisho machache kuelekea mechi kubwa zijazo.