Kuna mipira jana against Chelshit ulkua unaona kabisa kwamba hii Alvarez ingekuwa rahisi kuimaliza na kuamua game mapema sana. Guardiola afanye maamuzi magumu. Piga bench Halland Alvarez apate nafasi
Kuna tetesi kwamba Azam Fc anamtaka Kakolanya, ndio zipo ila bado akija atakuwa sub ya Ahmada sababu nyanda huyo bado ana mengi ya kuprove kwenyr Ligi hii Changa ambayo haina changamoto tofauti na bahasha
Ronaldo kwenda kucheza Saudi ni ishara ya Uoga na Wivu mkubwa dhidi ya Mkubwa wake Messi, Robaldo aliwahi mdhihaki Xavi kipindi yupo Qatar akasema Amefata pesa na kamwe hatokaa afanye hivyo, je yeye amefata mafuta?
Kwangu nadiriki kusema kwamba Mrisho Ngassa “Uncle” ndo Pelé wa Bongo, hao akina Kompyuta sijui Kibadeni sawa walikuwa wanoma ila hawakufika level za Uncle especially akiwa pale Azam Fc