Recent content by Emanuely Daudy

  1. E

    Hivi Ndivyo Ambavyo Wanatengeneza Mikeka FEKI Na Kutapeli Watu

    Mimi mwenyewe. Nimejiuliza sana kuhusu hawa jamaa ukiwasiliana nao wako chapu kweli mpaka najiuliza hawa milionea watakuwa wametumwa na Mungu nini maana sio kwa boom 💥 hizo wanazojinadi nazo hawa jamaa
  2. E

    Hivi Ndivyo Ambavyo Wanatengeneza Mikeka FEKI Na Kutapeli Watu

    Washaniliza zaidi ya mara tano hawa watu nikatika njia ya kusaka maokoto ya kaka kanji tunashukuru sana kwa Elimu mkuu