JKT Tanzania imepanga kucheza mechi yake ya Ligi Kuu dhidi ya Simba, Mei 5, 2025 katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga badala ya Uwanja wake wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam.
Uamuzi wa JKT Tanzania kupeleka mechi hiyo katika Uwanja wa Mkwakwani umechukuliwa baada ya kufungwa kwa Uwanja...