Simba wanacheza vizur ila Kuna vitu wanapaswa kuongeza
Wajue muda wa kumtafta mpinzani
Wajue wakati wakutuliza timu
Wajue namna ya kulazmisha ili kupata matokeo
Wajue namna ya kutorudisha mpira nyuma wakati sahihi si kila muda
Timu ndogo zijue namna ya kupambana na timu kubwa hizi siyo...