Hata nikiwa na stress jaman nikikumbuka tu ni shabiki wa yanga furaha tele inanijaa jaman sijutii hataπππππ‘π‘π’π’na mtu alienishawishi kushabikia yanga ni my Dady since am dady's daughter ππππhalafu pia ni timu ambayo inaongoza sana