Recent content by yanhkizzy.tz

  1. Y

    FT : CS Sfaxien 0 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    Ukijaribu kumuelewa Ahoua utachelewa sana,nenda nae tu ivoivo
  2. Y

    Mapinduzi Cup Imekosa Mvuto? Nini Kifanyike?

    Wanafosi sana,kina kengold,pamba, prisons wapo hawana cha kufanya sasa hivi wangeenda kucheza tu..
  3. Y

    FT : Yanga SC 4 Prisons 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    Bado mapema sana kusema Yanga imejirudi.. awaits for CAFCL
  4. Y

    FT : Kagera Sugar FC 2 Simba SC 5 | Mmeunaoje Mchezo Wa Leo Wana Kijiweni

    Hii timu itengwe sas,yeyote anacheza na anaperform.. Simba dude kuubwa🤠🤞
  5. Y

    Muda wa Che Malone kukaa bench umefika

    Ni beki mzuri ila mara nyingi Simba wachezaji wazuri Huwa wanapatwa na hii shida ya kuvuja. Trace kwa inonga,wawa
  6. Y

    FT : Simba SC 2 CS Sfaxien 1 | Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?

    Budo sio mchezaji,ni wa benchi la ufundi yule mzee
  7. Y

    FT : CS Constantine 2 Simba SC 1 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Ahoua ni mjinga sana ,na kocha anamshikilia tu.....
  8. Y

    FT : MC Alger 2 Yanga SC 0 | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Sisi Simba tunaumia sana baada ya juhudi kubwa ya kupandisha soka la Tanzania viwango vya juu,kuna hizi teams (Yanga na Azam) zilizojiona bora kushiriki CafCL znafanya vibaya jambo linalorudisha tena nyuma mpira wetu... Mtani utafungwa sana mpaka wale mashabiki waliotaka Yanga icheze na malaika...
  9. Y

    FT : Simba SC 1 Bravos Do Maquis 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Kombe la Shirikisho Afrika Kwa Wekundu Wa msimbazi?

    Wachezaji wasipokuwa serious once more,kuna mambo yataharibika soon.. Hongera timu yangu....
  10. Y

    FT : Yanga SC 0 Al Hilal 2 | Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?

    Dirisha dogo lifunguliwe tukaokoe baadhi ya wachezaji,Pacome tukamtoe kwenye yale matatizo
  11. Y

    Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

    Wachambuzi wengi wanakosea sana kutafsiri kinachotokea kwa mechi,mfano game ya Simba Jana wanasema goli la pamba lilikuwa sahihi na wakati aliyefunga alitakiwa apewe kadi kwa kutokuheshimu kipyenga.
  12. Y

    Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?

    Nidhamu ni aspect ya muhimu zaidi katika kazi yoyote,all the best Miguel... You are the best but keep it going...