Ramovic Kusepa Yanga | Mwananchi Wa Kijiweni Umeipokeaje Taarifa Hii?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
712
125
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
 
  • Like
Reactions: footballer trainer

shisha

Mpiga Chabo
Feb 4, 2025
1
0
0
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
Hizo ni rumors haondoki mtu hapa
 
spoto

Mpiga Chabo
Feb 4, 2025
2
0
0
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
Hz habar sio za kwel
 
Jay19

Mpiga Chabo
Feb 4, 2025
4
0
0
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
Kwa nn lakin kila siku yanga
 
felista

Kwann Sasa??