Ramovic Kusepa Yanga | Mwananchi Wa Kijiweni Umeipokeaje Taarifa Hii?

pixelhunter

Mpiga Chabo
Feb 3, 2025
1
0
0
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
πŸ˜‚πŸ˜‚Huu mwaka watajua hawajui....#pumzi ya moto πŸ”₯ # ubaya ubwela πŸ”₯
 
magutano 17

Mgeni
Dec 7, 2024
11
3
5
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
Hili si la kweli na kama mmeanza kutoa taarifa za uongo nita unfollow the group na kuwa ripoti serikalini
 
tibaigana

Mpiga Chabo
Jan 25, 2025
2
0
0
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu h

Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
Ubaya ubwela unafanya kaz
 
mzena

Mpiga Chabo
Feb 5, 2025
2
0
0
Shida zaoo kwetu ni fraha vibaya mnooo,,, ahaaahaha gusa achia vunja mkatakaba watavunja San round hii mpaka ungo
 
Hz habar sio za kwel
𝑺𝒂𝒔𝒂 π’–π’Žπ’†π’π’π’‚ π’‰π’‚π’…π’Š π’šπ’‚π’π’ˆπ’‚ π’˜π’†π’π’šπ’†π’˜π’† π’˜π’‚π’Žπ’†π’•π’π’‚ π’•π’‚π’‚π’“π’Šπ’‡π’‚ π’Œπ’˜π’‚ π’–π’Žπ’Žπ’‚ 𝒂𝒍𝒂𝒇 𝒃𝒅 π’–π’π’‚π’ƒπ’Šπ’”π’‰π’‚ π’Œπ’–π’Žπ’ƒπ’† π’—π’šπ’–π’π’‚ π’Žπ’π’‚π’Œπ’–π’‚π’ˆπ’‚ οΏ½π’—π’Šπ’„π’‰π’˜π’‚ π’π’ˆπ’–π’Žπ’–