FT : Simba SC 3 Tanzania Prisons 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
712
125
Kutoka uwanja wa KMC hapa Mwenge jijini Dar Es Salaam, wekundu wa Msimbazi wanaondoka na alama 3 muhimu na kurudi kileleni Kwa kuwafunga Tanzania Prisons goli 3 Kwa 0

WAFUNGAJI
⚽ Ahoua
⚽ Mpanzu
⚽ Chasambi

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 
baba akooo

Mgeni
Aug 11, 2024
17
6
5
Kipind Cha kwanza Simba walikuwa serious kinma mpka wakapt chuma tuta tumerud second half hkna chchte Zaid ya kupaka paka langi mpira
 
Chimchim

Mpiga Chabo
Feb 11, 2025
2
0
0
Kutoka uwanja wa KMC hapa Mwenge jijini Dar Es Salaam, wekundu wa Msimbazi wanaondoka na alama 3 muhimu na kurudi kileleni Kwa kuwafunga Tanzania Prisons goli 3 Kwa 0

WAFUNGAJI
⚽ Ahoua
⚽ Mpanzu
⚽ Chasambi

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Mchezo ulikuwa mezuri sana. Haukuwa na presha kubwa baada ya goli la chasambi. Utopolo sahauni kuhusu chasambi. Nawapongeza Simba kwa ushindi wa Leo na kuongoza ligi.