Ni AL MASRY vs SIMBA SC Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
546
712
125
Klabu ya soka ya Simba imepangwa kukutana na Al MASRY Kutoka nchini MISRI Hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika

Unadhani Utakua Mchezo Wa Aina Gani?
 
Ephraim Augustine

Mpiga Chabo
Feb 20, 2025
2
0
0
Al masryl ni wapinzan wazr weny ushindan, lkn Hali kadhali simba kiuhalisia ubingwa huu tunautaka ili tuweze kudhirisha ukubwa wetu ,mbel ya watesi wetu na njee ya Tanzania, ko utakua n mchezo mzr kwa Aina yke weny ushindan tukitambua hakuna kibonde robo fainal ,chance za kupita na kubaki n 50 kwa kila mtu