Sio bila penati simba haishindi njoo na hoja ni penati ipi alipewa bure pili penati sio sehemu ya mpira? Je pigo la penati halimo katika sheria za mpira ukiweza kujua hayo utaelewa maoni yako na pili njee ya maswali hayo Kama team kuna namna yoyote ile kutafuta matokeo ndani ya uwanja ndani ya...