Shida inakujaga wanatumiaga energy kubwa sana wanapocheza na yanga hivyo mechi zinazofuataga huwaga ngumu kupata matokeo sio kwa simba wala hivyo vilabu vingine mara nyingi sana huwa hawapati matokeo mazuri baada yankucheza na yanga
Kwahiyo leo mmmh ngoja tuone itakavyokua