Kuna mipira jana against Chelshit ulkua unaona kabisa kwamba hii Alvarez ingekuwa rahisi kuimaliza na kuamua game mapema sana. Guardiola afanye maamuzi magumu. Piga bench Halland Alvarez apate nafasi
Kuna tetesi kwamba Azam Fc anamtaka Kakolanya, ndio zipo ila bado akija atakuwa sub ya Ahmada sababu nyanda huyo bado ana mengi ya kuprove kwenyr Ligi hii Changa ambayo haina changamoto tofauti na bahasha
Ronaldo kwenda kucheza Saudi ni ishara ya Uoga na Wivu mkubwa dhidi ya Mkubwa wake Messi, Robaldo aliwahi mdhihaki Xavi kipindi yupo Qatar akasema Amefata pesa na kamwe hatokaa afanye hivyo, je yeye amefata mafuta?
Kwangu Halland ni Jini kuliko Mbappe ila advantags aliyonayo Mbappe ni team yake ya Taifa kuwa na nguvu kuliko Halland.
Kama Norway wangekuwa wanafuzu hata kwenye Euro, WC na Nations League. Tungezungumza mengine zaidi na zaidi. HALLAND NI JINI