Changes and improvement zinaendelea ila chasambi kuna kitu anahitajika na mwalimu afanye ila anashindwa kufikia lengo....kuna namna anatukaba but all in all timu inaenda vizuri
Ukiachilia mbali influence ya simba...but sababu kubwa huwa ni urahisi pia ladha ya kutamka ani inakuwa inanoga kuanza kutamka simba then uje yanga...ila syo kwamba inayo mantiki saaaaanaaaaah!! But me naona ni ile urahis pia na kuvutia kwakee๐