Search results

  1. V

    Simba Sports Club Thread

    Kiwango cha Chama Kudaiwa Kuporomoka, Staa Simba Aanika Haya. LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kuonyesha kutoridhishwa na kiwango cha kiungo, Cleotus Chama kwenye mchezo ambao Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Kagera, kiungo fundi wa zamani wa Simba, Mtemi Ramadhan amekuwa...
  2. V

    Yanga Thread

    Nabi: Sitaki Kusikia Mchezaji wa Yanga Akizungumzia Simba. KOCHA Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Mohamed Nabi amesema amewapiga marufuku wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kuzungumzia matokeo mabovu ya mahasimu wao Simba Sc ambayo wamekuwa wakiyapata katika mechi zao za hivi karibuni na...
  3. V

    AFCON Thread

    Jeshi Laamuru Wachezaji Kurudisha Posho Baada ya Kushindwa AFCON. Serikali ya taifa la Afrika la Magharibi la Guinea imewataka wachezaji wa timu ya taifa ya mchezo wa kandanda waliokuwa huko nchini Cameroon kurejesha pesa za marupurupu walizokuwa wamepewa endapo wangetwaa ubingwa wa AFCON 2021...
  4. V

    Yanga Thread

    Kocha wa Yanga Avunja Ukimya Kuhusu Diarra. KOCHA wa Makipa wa Klabu ya Yanga, Milton Nienov ameweka wazi kuwa michuano ya AFCON 2021 inayoendelea kutimua vumbi huko nchini Cameroon inaweza kuwa na athari kubwa kwa Djigui Diarra. Nyota ambaye amepata wakati mgumu kwenye kupata nafasi ya kucheza...
  5. V

    Simba Sports Club Thread

    Kilichotokea Baada ya Simba Kufungwa na Kagera. Huenda walidhrika na mafanikio ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kombe la Mapinduzi huko visiwani Zanzibar au ndio matokeo ya mchezo wa soka ambao kuna nyakati huwashangaza mashabiki wengi wa mchezo huo hii ni baada ya kupatikana kwa matokeo...
  6. V

    AFCON Thread

    Cameroon na Burkinafaso zimeshatinga nusu fainali. Unabshiri ni timu gani mbili zitakazo ingia nusu fainali leo?
  7. V

    AFCON Thread

    CAMEROON NA BURKINA ZATINGA NUSU FAINALI AFCON. WENYEJI, Cameroon wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Gambia jana Uwanja Douala. Mabao ya Cameroon jana yalifungwa na mshambuliaji wa Lyon ya Ufaransa, Karl Brillant Toko Ekambi yote...
  8. V

    Ligi Kuu Thread

    KOCHA WA SIMBA AFUNGIWA NA FAINI MILIONI 2. KOCHA Mspaniola wa Simba SC, Pablo Franco Martin ametozwa faini ya Sh. Milioni 2 jumla kwa makosa mawili yanayofanana na kufungiwa mechi tatu kwa kupiga chupa chini kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Taarifa ya Bodi ya Ligi...
  9. V

    Ligi Kuu Thread

    SHABANI NA MAREFA YANGA NA POLISI WAFUNGIWA. BEKI Mkongo wa Yanga SC, Djuma Shabani amefungiwa mechi tatu za kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu baina ya timu hizo. Taarifa ya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB)...
  10. V

    KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.

    MAYELE AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA TFF. VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza jioni ya leo. Bao...
  11. V

    KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.

    AZAM, NAMUNGO NA PAMBA ZASONGA MBELE ASFC . BAO la Nahodha, beki mkongwe Aggrey Morris dakika ya 30 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la...
  12. V

    AFCON Thread

    Timu zilizotinga robo fainali AFCON.
  13. V

    AFCON Thread

    MISRI YATINGA ROBO FAINALI AFCON, IVORY COAST NA MALI NJE. MABINGWA wa kihistoria, Misri wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Ivory Coast kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 120 Uwanja wa Douala nchini Cameroon...
  14. V

    AFCON Thread

    Kisa Kuondolewa Afcon, Mastaa Nigeria Watishiwa Kuuwawa. WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Nigeria, Maduka Okoye ambaye ni golikipa na kiungo Alex Iwobi wametishiwa kuuwawa baada ya timu yao ya taifa kuondolea kwenye mashindano na Tunisia siku ya jumapili. Kutokana na vitisho hivyo golikipa wa timu...
  15. V

    AFCON Thread

    Mechi za leo AFCON. Ivory Coast vs Egypt ( Saa moja usiku) Mali vs Equitorial Guinea ( Saa nne usiku)
  16. V

    AFCON Thread

    SITA WAFARIKI WAKIGOMBEA KUINGIA UWANJANI CAMEROON. WATU wasiopungua sita wamefariki na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa katika vurugu zilizotokea nje ya Uwanja wa Olembe Jijini Yaounde wakigombea kuingia kutazama mechi baina ya wenyeji wa Fainali za AFCON, Cameroon dhidi ya Comoro jana –...
  17. V

    AFCON Thread

    MOROCCO NA SENEGAL ZATINGA ROBO FAINALI AFCON. MOROCCO imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Malawi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika usiku huu Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé nchini Cameroon. Malawi ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wa Orlando...
  18. V

    AFCON Thread

    Mechi za leo AFCON. Senegal vs Carpe Verde ( Saa moja usiku) Morroco vs Malawi ( Saa nne usiku)
  19. V

    AFCON Thread

    CAMEROON NA GAMBIA ZATINGA ROBO FAINALI AFCON. WENYEJI, Cameroon wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Comoro usiku wa Jumatatu Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaoundé. Mabao ya Cameroon yamefungwa na Karl Toko Ekambi dakika ya 29 na Vincent...
  20. V

    Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.

    Hitimisho Kwa ongezeko la vijana ambao wanapenda kujihusisha na ubashiri mtandaoni pamoja na ukuaji wa miji tutegemee kuona kampuni nyingi za kubashiri mtandaoni zikiibuka nchini Tanzania. Ni jukumu la mamlaka za Serikali, hususani Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuhakikisha sekta hii...