BASHUNGWA MGENI RASMI MECHI YA WATANI, MANARA MWANACHAMA YANGA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Innocent Bashungwa ndiye atakuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Wakati huo huo, Msemaji wa Yanga, Haji...