Straika Simba Atimkia Uturuki
STRAIKA na kinara wa mabao wa Simba Queens, Opah Clement, usiku Machi 4 alipaa kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kujiunga na timu ya Yikatel Kayseri inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini humo.
Meneja wa kikosi hicho, Selemani Makanya, amelithibitishia Championi...