Search results

  1. V

    Ligi Kuu Thread

    HALF TIME Kagera Sugar 1-1 Namungo Fc 22': Mbaraka Yusuph 26': Emmanuel Charles Pasi za mabao zimetolewa na: Hamis Kiiza Jacob Masawe...
  2. V

    Ligi Kuu Thread

    #TBT ZILITRENDI: Mahakama yamtimua kazi Mwakalebela TAREHE kama ya leo yaani Machi 3, ila ndani ya mwaka 2008 iliripotiwa stori ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka (TFF), Fredrick Mwakalebela ni kama hana kazi baada ya mahakama ya kazi kumrejesha katibu mkuu wa zamani wa shirikisho...
  3. V

    Ligi Kuu Thread

    Mechi za leo za Ligi Kuu ya NBC Mbeya Kwanza vs. Mtibwa Sugar Sokoine Kmc Fc vs. Polisi Tanzania Azam Complex =AZV5Nv7LhSlP4DFsZYh_-PI6rVF-8QBF5emzYNkYcsAErYHfOT_nnUfiIJqcioKSnClJ5x3xjAuEU98nHnOmuBv62WUbLKYG88Z9jQEtq_jYDx3p12YjLL26zae0WOg_3-9AKYsiR6k8XZD-UI7FhQxr&__tn__=*NK-R']#NbcPremierLeague
  4. V

    Yanga Thread

    𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘⏱ Mtibwa Sugar 0-2 Yanga Sc (Ntibazonkiza 45+ | Mayele 67’ ) Tutaelewana tu msimu huu🤫
  5. V

    Ligi Kuu Thread

    #NBCPL Game imekwisha manungu…. Yanga wanatoa jibu. FT: Mtibwa 0-2 Yanga
  6. V

    Ligi Kuu Thread

    Dodoma Jiji Yavunja Mkataba na Kocha Wao Makata TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo. Ndani ya michezo mitano iliyopita, Makata alijikuta akiongoza Dodoma Jiji...
  7. V

    Yanga Thread

    Kikosi kinachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar
  8. V

    Kombe la Shirikisho barani Afrika

    Kocha Berkane Apata Mchecheto, Kucheza na Simba BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza naSimba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekiri kukutana na upinzani mkali dhidi ya timu hiyo katika michuano ya kimataifa. Ibenge amekutana na Simba mara nne katika michuano ya kimataifa...
  9. V

    Kombe la Shirikisho barani Afrika

    Msimamo wa makundi mpaka sasa
  10. V

    Yanga Thread

    Yanga SC: Manungu Sio Tatizo Kwetu HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari waYanga,amesema kuwa Uwanjawa Manungu ambaounatarajiwa kutumika leo kwa mchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar kwao sio tatizo. Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 36, wanatarajia kukutana na Mtibwa Sugar iliyokusanya...
  11. V

    Usajili

    Adebayor Akubali Kusaini Simba WAKATI Simba SC ikiambulia pointi moja mbele ya US Gendarmerie juzi Jumapili, ilifanya umafia kwa kuzungumza na wakala wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Victorien Adebayor ili kumsajili. Adebayor ni kati ya wachezaji tegemeo katika kikosi cha Gendarmarie...
  12. V

    Simba Sports Club Thread

    Pablo: Wachezaji walikuwa wanashindwa kupumua KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco Martin raia wa Hispania, amefunguka kuwa wachezaji wake walikutana na hali ngumu wakiwa Niger kiasi cha kushindwa kupumua vizuri kutokana na hali mbaya ya hewa. Pablo aliweka wazi kuwa, haikuwa kazi rahisi kwao...
  13. V

    Yanga Thread

    Fei Toto apewa kazi maalum Yanga SC KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amepanga kumtumia kiungo wake, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kama njia rahisi ya kupata ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar, kesho Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro. Mchezo huo ni wa...
  14. V

    Ligi Kuu Thread

    Mkwasa: Bado hatupo sawa kisaikolojia LICHA ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Prisons, Kocha Mkuu Ruvu Shooting, Charles Mkwasa, amefunguka kuwa bado wachezaji wake hawajakaa sawa kisaikolojia kutokana na msiba wa aliyekuwa beki wa timu hiyo, Ally Mtoni maarufu...
  15. V

    Simba Sports Club Thread

    Simba Haizuiliki CAF MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’ amesema kwa mikakati ya usiri kambini, umoja na ushirikiano uliopo, basi ngumu kutokea timu ya kuwazuia kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu. Simba wameipata jeuri...
  16. V

    Yanga Thread

    Mayele: Hao Mtibwa Sugar Waje MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ameapa kuipambania Yanga katika mchezo unaofuata wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar kwa kuhakikisha timu hiyo inaibuka na ushindi wakiwa ugenini. Yanga katika mchezo huo, wanatarajiwa kuwa ugenini kwenye Uwanja wa Manungu...
  17. V

    Ratiba ya mechi za leo.

    Mechi za leo barani Ulaya EPL UCL Mechi gani hujapanga kuikosa?
  18. V

    Ligi Kuu Thread

    Ligi Kuu ya NBC hii leo Februari 23 inaendelea kwa mechi moja kupigwa Mtibwa Sugar Yanga Sc Manungu Complex Saa 10:00 Jioni Dondosha utabiri wako...
  19. V

    Ligi Kuu Thread

    BIASHARA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-0 KIRUMBA MABAO ya Collins Opare dakika ya 49 na James Shagara dakika ya 90 na ushei yameipa Biashara United ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Kwa ushindi huo, Biashara...
  20. V

    UEFA Champions League

    CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-0 LONDON WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Lille ya Ufaransa katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge Jijiji London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Kai Havertz dakika ya nane na Christian...