Kaseja: Silogi mtu ni uwezo tu.
MIAKA 20 kwenye Ligi Kuu Bara, Juma Kaseja anajua siri nyingi za soka la Bongo na utamdanganya nini kuhusu mpira wa nchi hii? Huyu ni gwiji.
Tanzania One, Mikono Mia, mfano wa kuigwa, kipenzi cha wengi ni kati ya sifa nyingi ambazo amekuwa akipambwa nazo supastaa...