Dube: Nimerudi Kuwafungia Mabao Azam FC.
BAADA ya kupitia kipindi kigumu cha kuandamwa na majeraha, hatimaye straika wa Azam FC, Prince Dube,
amesema kuwa kwa sasa yupo fiti, anataka kupambana na kuifungia mabao mengi timu yake.
Dube amesema msimu uliopita alipishana na kiatu cha ufungaji bora...