Search results

  1. V

    Yanga Thread

    Tukio Hili kwa Mwamnyeto Lawaibua Simba. MKUU wa Idara ya Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amehoji tukio la Kiongozi wa Young Africans kuingia Uwanjani dakika chache kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ uliochezwa Jumamosi (Januari 29)...
  2. V

    Simba Sports Club Thread

    Mangungu: Simba Hali ni Shwari. MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema licha ya timu yao kukosa matokeo mazuri katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara, lakini bado wapo imara na hakuna mgogoro wowote unaoendelea klabuni hapo, kila kitu ni shwari. Kwenye mechi hizo...
  3. V

    Simba Sports Club Thread

    Straika Mkongo Aanza Nyodo Simba. MARA baada ya kufunga bao lake la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu, mshambuliaji Mkongomani ndani ya kikosi cha Simba, Chris Mugalu, ameibuka na kutamka kuwa sasa hivi kasi ya mabao ndiyo imeanza, hivyo watamtambua. Kauli hiyo aliitoa mshambuliaji huyo mara...
  4. V

    Yanga Thread

    Kibwana Anahesabu Siku Yanga. BEKI kiraka wa Yanga, Kibwana Shomari na mwenzake Abdallah Shaibu ‘Ninja’, wanahesabu siku tu za kurudi uwanjani mara baada ya kupona majeraha yao. Kibwana anayemudu kucheza beki wa kulia na kushoto, wiki mbili zilizopita alikwenda Tunisia sambamba na Ninja kwa...
  5. V

    AFCON Thread

    MISRI NA SENEGAL ZAKAMILISHA NUSU FAINALI AFCON. TIMU ya taifa ya Senegal imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Equatorial Guinea usiku huu Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Cameroon. Mabao ya Simba wa Teranga yamefungwa na Famara...
  6. V

    Simba Sports Club Thread

    Wanasimba tunataka ushindi.
  7. V

    Yanga Thread

    Nkane, Mshery Kutibua Usajili wa Nabi Yanga. KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amenogewa na ubora wa wachezaji wazawa aliowasajili katika dirisha dogo huku akipanga kusimamisha usajili wa nyota wa kigeni katika msimu ujao. Baadhi ya wachezaji wazawa waliosajiliwa katika...
  8. V

    Simba Sports Club Thread

    Mzee Dalali Awashukia Mabosi Simba. KUKOSA matokeo mazuri kwa timu ya Simba kumemuibua mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo, Mzee Hassan Dalali ambapo amewashukia viongozi wa timu hiyo akitaka majibu ya chanzo cha hali hiyo. Dalali ameongeza kuwa kutokana na hali hiyo yeye pamoja na wazee wenzake...
  9. V

    Simba Sports Club Thread

    Mastaa Simba Wapigishwa Tizi Kwenye Jua Kali. PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba Ijumaa aliwafanyisha mazoezi wachezaji wake kwenye mchana wa jua kali ikiwa ni maandalizi ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) dhidi ya Dar City unaotarajiwa kuchezwa kesho Jumapili, Uwanja...
  10. V

    AFCON Thread

    Mechi za Robo fainali leo AFCON.
  11. V

    Christiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo amepokea tuzo yake ya Globe Soccer ( mfungaji bora wa muda wote huko Dubai Expo 2020) =AZVFxq-oj7mwP6ZjcEdh651xmYC3EmEnynDmJ7f0xCDIqoo9LtcwgD7nSenYI1vxOc_yTbNHx0AA71C6mGFlCV2y85LnIa9OqEvzC1395ZU-Ej68pU8llCChTm8jYNcxr1wlIIUHrdF1QvK3MOFPIu19&__tn__=EH-R']
  12. V

    Ligi Kuu Thread

    Mtibwa Sugar: Yanga Wanaletwa Manungu. OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameweka wazi kwamba hawafikirii kuacha kuutumia Uwanja wa Manungu kwa wakati huu kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ambazo zipo mbele yao ikiwa ni pamoja na ile dhidi ya Yanga. Akizungumza na Championi Jumamosi...
  13. V

    Simba Sports Club Thread

    Barbara Aitwa Polisi, Asota Saa Nzima. MTENDAJI Mkuu (C.E.O) wa Simba, Barbara Gonzalez jana Ijumaa alilazimika kusota kwa saa zima kwenye Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Dar, baada ya kuitwa kwa ajili ya kesi yake inayomkabili dhidi ya Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jackline...
  14. V

    Yanga Thread

    Mshery Afungukia Ujio wa Diarra Yanga. KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery amesema kuwa atatumia uwezo wa kipa mwenzake, Djigui Diarra katika kujifunza mambo mbalimbali ndani ya timu hiyo akiamini atamsaidia kufikia uwezo wa kimataifa. Mshery ameongeza kuwa kwake wala hahofii nafasi ya kuanza...
  15. V

    Simba Sports Club Thread

    Pablo Ajitibulia Mwenyewe Simba SC. KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, ameweka rekodi ya kucheza michezo mitatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara, sawa na dakika 270 bila ya kupata bao katika msimu huu. Kocha huyo aliyebeba Kombe la Mapinduzi, ameweka rekodi hiyo tangu ajiunge na timu hiyo...
  16. V

    Yanga Thread

    Yanga Hawazuiliki, Waonyesha Dalili 5 za Ubingwa. YANGA huu msimu ni wao, kutwaa kombe la Ligi Kuu Bara wana asilimia kubwa sana, kwani wameonyesha dalili zote za kuchukua ubingwa huo waliokosa kwa misimu minne mfululizo. Yanga hadi sasa wanaongoza kila kitu dhidi ya timu zote zinazoshiriki...
  17. V

    Ligi Kuu Thread

    Kiiza Aweka Rekodi ya Ajabu Ligi Kuu. HAMIS Kiiza (Diego) ndiye aliyebaki kwenye kumbukumbu mbaya kwenye vitabu vya Simba baada ya kuwafungia Kagera Sugar bao 1-0 na Simba kukosa alama tatu kwenye mechi tatu mfululizo. Kiiza aliingia dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Ally Ramadhan na ilimchukua...
  18. V

    Simba Sports Club Thread

    Simba: Tunahujumiwa. MMOJA wa mabosi wakubwa wa Simba ametamka kwa hasira jijini Dar es Salaam: “Tunahujumiwa.” Kisha akatangaza kufanya maamuzi magumu ndani ya siku tatu kuanzia Alhamisi. Hiyo ni kufuatia matokeo mabovu ya Simba katika mechi tatu mfululizo zilizopita, yaliyowafanya wawe nyuma...
  19. V

    Simba Sports Club Thread

    Pablo Atangaza Vita Mpya Simba. KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, juizi Alhamisi alishuka na kikosi cha klabu hiyo kutokea mkoani Kagera, na kuchimba mkwara mzito kuwa wamesahau kuhusu matokeo yao mabaya kwenye michezo iliyopita na wamekuja kuanza vita mpya. Simba Januari 26, 2022 walipata...
  20. V

    Yanga Thread

    Yanga Yatumia Sh Mil 265 Kushinda Mechi Zao, Hersi Aanika. USHINDI wa 11 walioupata Yanga, umewapa wachezaji wa timu hiyo bonasi ya Tsh milioni 265 katika michezo ya Ligi Kuu Bara tangu kuanza kwa msimu huu. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu watoke kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi...