Wakati hali ya shauku ikizidi kote barani, makocha, wachezaji, na mashabiki wanatamani kufahamu ni nani timu zao zitakutana nao katika vita vya hatua ya makundi yatakayopangwa leo , lakini kumbuka kuwa Droo hii si tu utaratibu wa kawaida bali inaashiria mwanzo wa kihistoria wa mashindano makuu...