Ni mchezaji mzuri sana.
Nikipata nafasi ya kuonana nae nitamshauri aongeze juhudi pindi tu apatapo nafasi ya kucheza, awe mbunifu katika mechi, licha ya kufanya juhudi za kumuaminisha kocha, ata sisi wafuasi wake andelee kutuaminisha kuwa yeye ni bora.
Na akifanikiwa kuongeza juhudi basi namba...