Jiepushe na matapeli wa kitanzania na wakenya 🙏 mikeka hua inatolewa bure.. hakuna anayejua nani atashinda au nani atapiga kona nyingi.. au ni kadi hapo zitapatikana.. sote tunabahatisha tu ata wewe unaweza ukabahatika kwa kutengeneza mkeka wako.. hivyo usijihusishe kabisa na upotevu wa pesa...