Search results

  1. H

    Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

    Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini. Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe Hata kule Upareni...
  2. H

    Hizi Hapa Mechi 3 Za Over 1.5 Pekee

    Yokohama F. Marinos vs Sagan Tosu Over 1.5 Sandefjord vs Tromso Over 1.5 Columbus Crew vs Nashville SC Over 1.5
  3. H

    Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake

    (1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure. (2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda Kuangalia Mechi ya Brazil na Taifa Stars, Brazil ya Akina Kaka. (3) Manji alianzisha Week ya...
  4. H

    DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH

    Juni 27,2024 katika uwanja wa Azam Complex kutakuwa na mchezo wa kombe la Sudan (Sudanese super Cup) ambao utazikutanisha timu za Al Hilal Omdurman dhidi ya Al Marreikh zote za Sudan. Klabu hizi kwa sasa zote zipo Tanzania ambapo mbali na mchezo huu zinajiandaa kushiriki michuano ya Kagame...
  5. H

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu,Vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu!,Sasa...
  6. H

    Mechi 8 Za Over 1.5 Pekee Hizi Hapa

    Manly Utd vs Central Coast Mariners U23 Over 1.5 Melbourne Knights vs Moreland City Over 1.5 Nepean vs Mt Druitt Town Over 1.5 Blacktown Spartans vs Canterbury Bankstown Over 1.5 Froso vs Bergnasets Over 1.5 Poland vs Austria Over 1.5 Netherlands vs France Over 1.5
  7. H

    Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)

    1. GHANA Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia mikataba ili wakusumbue uvunje mkataba wapige hela waende zao. Mfano: Morison, Okrah, Asamoh, Afiz...
  8. H

    Tunaosuka Mikeka Ya Magoli Tukutane Hapa Na Mechi Hizi Za Over 1.5

    Slovenia vs Serbia Over 1.5 Tukums 2000 vs FK Liepaja Over 1.5 KuPS Akatemia vs VIFK Over 1.5 Vasalund vs Stockholm Internazionale Over 1.5 Valmiera vs Metta Over 1.5 Denmark vs England Over 1.5 Frolunda vs Astrio Over 1.5 Kumla vs Lidkoping Over 1.5 Karlbergs vs Nordic...
  9. H

    Hapa Ni Over 1.5 Pekee Mechi 8

    SD Raiders vs Rydalmere Lions Over 1.5 Croatia vs Albania Over 1.5 Narva vs Kuressaare Over 1.5 JIPPO vs Mikkeli Over 1.5 SalPa vs JaPS Over 1.5 Baladiyat El Mahalla vs Pyramids Over 1.5 Germany vs Hungary Over 1.5 HJK vs KuPS Over 1.5
  10. H

    Mkeka Wa Magoli Mechi 7 Za Over 1.5

    Newcastle Olympic vs Adamstown Rosebud Over 1.5 Paide vs Parnu JK Vaprus Over 1.5 Al Ittihad vs Al Ahly Over 1.5 Fylkir vs Vestri Over 1.5 Cruzeiro U20 vs Corinthians U20 Over 1.5 Portugal vs Czech Republic Over 1.5 Fram vs Kopavogur Over 1.5
  11. H

    Mechi 6 Za Magoli Kama Kawaida Over 1.5

    Levadia vs Tammeka Over 1.5 Poland vs Netherlands Over 1.5 Streymur vs Klaksvik Over 1.5 Serbia vs England Over 1.5 Sunshine Coast Wanderers vs Redlands Over 1.5 Central Coast Mariners U23 vs Sydney FC U23 Over 1.5
  12. H

    Mechi za magoli pekee Over 1.5 Chagua Unazopenda Sasa

    Olympic Kingsway vs Stirling Macedonia Over 1.5 Sydney Olympic vs Sutherland Sharks Over 1.5 Monaro Panthers vs Gungahlin Over 1.5 Hills United vs Sydney Utd Over 1.5 St George Saints vs St. George City Over 1.5 Hungary vs Switzerland Over 1.5 Slutsk vs Din. Minsk Over 1.5...
  13. H

    Mkeka wa Magoli Over 1.5 Pekee Leo

    Werribee City vs Brunswick City Over 1.5 Meizhou Hakka vs Shandong Taishan Over 1.5 Valmiera vs Tukums 2000 Over 1.5 Nevezis Kedainiai vs Riteriai Over 1.5 Pharco vs Al Ahly Over 1.5 Stammersdorf vs ASV 13 Wien Over 1.5 Germany vs Scotland Over 1.5
  14. H

    Prof Janabi Awapa Makavu Simba & Yanga

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Kauli hiyo aliitoa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
  15. H

    Mechi 5 Za Over 1.5 Za Uhakika Hizi Hapa

    Belize vs Nicaragua Over 1.5 St Albans vs Melbourne Knights Over 1.5 Brisbane City vs Gold Coast Utd Over 1.5 Brisbane Roar U23 vs Redlands Over 1.5 Italy vs Bosnia & Herzegovina Over 1.5
  16. H

    USAJILI SIMBA: Serge Pokou Anasa Simba

    Siku za hivi karibuni iliripoti kuwa Simba imekuwa ikimfuatilia kwa ukaribu zaidi kiungo ( Serge N´guessan Archange Pokou), ambaye ni panga pangua wa Asec Mimosas, na wamekubaliana sehemu kubwa ya dili hilo, ili mwamba huyo aje kukipiga kwenye kikosi hicho msimu ujao. Ni kijana mdogo...
  17. H

    Simba Na Yanga Kupigwa Mara 3…Msimu Wa 2024/25

    HUENDA SIMBA NA YANGA zikikakutana zaidi ya mara 3 kwa msimu ujao wa mashindano, 2023/24, lakini kwa kufuata Kanuni za Ligi timu tutashuhudia Dabi ya Kariakoo mara 3 kuanzia mechi za Ngao ya Jamii. Kwa mujibu wa kanuni za ligi, mechi za nusu fainali ya Ngao ya Jamii, inashirikisha timu nne na...
  18. H

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    UKWELI WOTE KUHUSU CHAMA NA MO DEWJI KUMGOMEA PESA ANAYOTAKA Inaelezwa kwamba dili la Kiungo wa Zambia Clatous Chama kujiunga na Yanga linakaribia kukamilika, kutokana na upande wa Simba kushindwa kumtimizia mahitaji yake aliyoyataja kwenye mkataba wake mpya. Ukweli mchungu kwa baadhi ya...
  19. H

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Kijiwe hiki kinawakutanisha mashabiki wa klabu ya Simba hapa Kijiweni ambapo tuwe tunajadiliana kuhusu klabu ya Simba na mambo yake kwa ujumla kama matokeo ya mechi, usajili na mechi za timu yetu