Search results

  1. H

    Mkeka Wa Leo Jumanne 04/02/2025 Mechi Za Magoli Ya Over 1.5 Pekee

    Date Matches Tip 15:30 04/02 Turkiye - Cup Istanbul Basaksehir - Corum FK Over 1.5 17:00 04/02 England - Development League Millwall U21 - Bournemouth U21 Over 1.5 20:30 04/02 Turkiye - Cup Besiktas - Kirklarelispor Over 1.5 21:00 04/02 France - Coupe de France Lille - Dunkerque Over 1.5...
  2. H

    Ishu Kamili Ya Max Nzengeli Hii Hapa . Vipi Kuhusu Kuibuka Msimbazi? Yuko Yanga Kwa Mkopo?

    WANASEMA jaMBO likimalizika, basi hufuata au lilelile huendelea na hivyo kuwafanya watu kuendelea kulifuatilia au kuanza upya kufuatilia linalojitokeza. Hivyo ndivyo ilivyo pia kwa supastaa wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli ambaye pale Jangwani ni kama ameanza kutengeneza ufalme flani ndani ya...
  3. H

    Badala ya kuilipisha Simba, tuhoji zoezi la kubadili viti vya Uwanja wa Mkapa limeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja. Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka...
  4. H

    Muda wa Che Malone kukaa bench umefika

    Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu. Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa. Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo...
  5. H

    Waraka Wangu Kwa GAMONDI Na Injinia Hersi Nisikuchoshe Na Usinichoshe, Tusichoshane

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki! Gamondi ni Kocha mwenye...
  6. H

    Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Kitu Denis Nkane Utamwambia Nini?

    Miguel Gamond anasema Dennis Nkane anafaa kuwa beki wa pembeni ansye panda na kushuka na ameanza kumtrain kwenye hiyo position. Jana dogo kaupiga mwingi sana, yani anakuzuia + kupiga soka burudani. Ni kama vile Professor Pacome anakufunga na kukupiga chenga, kanzu na tobo pia.
  7. H

    Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa

    Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo. Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu: 1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa...
  8. H

    Naamini Kuwa Kauli Hii Ya Kocha Patrick Aussems Bado Inawatafuna Simba Mdogomdogo Tu

    Tarehe 03 ya mwezi wa kumi na mbili mwaka 2019 aliewahi kuwa Kocha wa Klabu ya Simba Patrick Aussems kusema kuwa "Ili Klabu ya Simba iweze kukua kimaendeleo kama TAASISI inatakiwa kuondoa watu waongowaongo wasio na elimu kwenye Bodi ya Klabu" Unajua kwanini nimeanza na kauli hii ya Patrick...
  9. H

    Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
  10. H

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki. Kuna wachezaji ambao hawastahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wachezaji hao ni; Balua,Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui...
  11. H

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga. Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata. Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
  12. H

    WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?

    Baada ya sakata lake la usajili ambalo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii ISRAH MWENDA anasema "Nipo kwenye mchakato wa kuvunja mkataba, nyie subirini mtapata taarifa, Singida wapo nje ya makubaliano tuliyokubaliana. Mpira wetu una changamoto sana. Halafu baadae utasikia wazawa...
  13. H

    Vuvuzela Zipigwe Marufuku Viwanjani Tanzania , Kwani Hatuwezi Kushangilia Wenyewe?

    Vuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa haraka sana na mashambiki wa nchi mbamimbali wakaanza kuvitumia kwenye kushangilia timu zao. Hata...
  14. H

    Rekodi Za Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya Wa Klabu Ya Simba

    KLABU ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Cameroon, Lionel Ateba kwa kumsainisha mkataba wa miaka mitatu. Nyota huyo kutoka klabu ya USM Alger ya Algeria anajiunga na Simba kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji huku viongozi wa timu hiyo wakitakiwa kukata jina...
  15. H

    SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut

    Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious . Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things. Very soon...
  16. H

    Kindege (Aviator) Kilivyosepa Na Milioni 7 Ya Mtaji Najihisi Kufa

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  17. H

    Unamtania Kwa Jina Gani Rafiki Yako Ambaye Hashabikii Timu Unayoishabikia?

    Tumezoea kwamba kwa Tanzania kuna majina mengi sana ambayo yapo na yanatumiwa na mashabiki japokua sio rasmi sana lakini huwa ni kama njia mojawapo ya utani kwao. Na mara nyingi ukisikia jina hilo unajua kabisa hapa kamaanisha timu flani au anamtania shabiki wa timu flani Unamtania Kwa Jina...
  18. H

    Hivi Ni Kweli Yanga Kiingilio Cha Elfu 5 Pia Kimewashinda?

    Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao. Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na...
  19. H

    MASTAA WALIOSEPA WAKARUDI BONGO…SIMBA NA YANGA USIPIME

    UTAMU wa Ligi kuu ya NBC unazidi kuongeza na sasa ni miongoni mwa Ligi 6 bora za Afrika, hali hii inawafanya wachezaji wengi kukimbilia kucheza Tanzania. Soka la Bongo tumekuletea majina ya mastaa kibao ambao waliondoka Bongo na baadae kurudi tena kukiwasha kutokana na utamu wa Ligi hii. BOBAN...
  20. H

    Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu

    𝗗𝗮𝗿𝗮𝘀𝗮 𝗹𝗮 𝗯𝘂𝗿𝗲 : Hakuna mkataba ambao hauvunjiki (FIFA) walitambua kwa LOOP-HOLE hiyo wachezaji wengi wataitumia vibaya kuziacha timu zao kiholela wanapopata ofa kubwa zaidi kutoka kwa timu zingine hivyo kufanya baadhi ya vilabu vyenye uchumi wa chini kuathirika. Wakaweka kanuni za kufuata...