Search results

  1. H

    Haji Manara Acha Dharau Na Dhihaka Kwa Ali Kamwe , Yanga SC Imefaidika Nae 'Kibrandi' Kuliko Ulivyokuwepo

    Haji Manara labda nikusaidie Kitaaluma Afisa Habari ndiyo huyo huyo Msemaji acha kutaka Kuwadanganya Watu. Hivi Logically tu Haji Manara kuna tofauti kati ya Information Officer na Communication Manager? Tuliosoma vyema Mass Communication na Kubobea nayo hapa si tu tunakudharau ila pia tunakuona...
  2. H

    Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona. Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka...
  3. H

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  4. H

    Ratiba Kamili Ya Yanga Kujiandaa Na Msimu wa 2024/2025 Umeionaje?

    Pre Season ya Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ➑️ Leo Julai 18 inaenda Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ ➑️ Julai 20 inacheza πŸ†š Augsburg πŸ‡©πŸ‡ͺ ➑️ Julai 24 inacheza πŸ†š Ts Galaxy πŸ‡ΏπŸ‡¦ (Closed Door) ➑️ Julai 28 inacheza πŸ†š Kaizer Chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦ ➑️ Alfajiri ya Julai 30 inawasili Dar Es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
  5. H

    Wapinzani Wa Yanga Wazuiwa Kutumia Uwanja Wao Yanga Ishindwe Yenyewe Tu Kimataifa

    JAMBO Hili linaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya wapinzani wao kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Vital’O FC kuzuiwa kutumia uwanja wao wa nyumbani wa Intwali uliopo Bujumbura, Burundi. Ukaguzi uliofanywa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) umebaini kuwa uwanja...
  6. H

    Panga Kikosi Chako Unachoanza Nacho Kutokana Na Usajili Wa Timu Yako

    Hivi sasa ndio kipindi ambacho macho na masikio ya mashabiki Wa Soka wanaangalia Klabu zao zinafanya maboresho Gani katika vikosi vyao na Tayari zipo Timu ambazo zimeachana na baadhi ya wachezaji huku zikiongeza wachezaji wapya... Si umeuona usajili wa timu yako? Panga Kikosi Chako ambacho...
  7. H

    Simba Inaenda Kurudisha Hadhi Na Msisimko Wa Kombe La CAF Shirikisho

    Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi...
  8. H

    Nawakumbusha Tuliwahi Kumsajili Beki Mmoja Akiitwa Mohamed Ouattara Lakini Tukaishia Kumtukana, Tusubiri Uwanjani Ndio Tuwasifie

    Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan. Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki. Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia. Outtara alikuwa na mwili...
  9. H

    Hizi Hapa Mechi Za Magoli Pekee Yaani Over 1.5

    Al Ittihad vs Pyramids Over 1.5 Grobina vs Tukums 2000 Over 1.5 Inter Turku vs Lahti Over 1.5 AC Oulu vs SJK Over 1.5 Al Ahly vs El Gaish Over 1.5 Stromsgodset vs Sandefjord Over 1.5 Thor Akureyri vs Grindavik Over 1.5 Atlas vs Deportivo Muniz Over 1.5 Hafnarfjordur vs KA Akureyri Over...
  10. H

    Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC

    Kocha Fadlu Davids ambaye amekuwa na sifa nzuri katika coaching yake kwa timu alizowahi kuzifundisha akiwa Head Coach, Assistant Manager. Tuangalie sifa zake za ufundishaji 1: POSSESSION BASED – Huyu anapenda sana kucheza one touch football ambapo wachezaji huchukua nafasi na kuunda faida ya...
  11. H

    Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

    Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini. Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe Hata kule Upareni...
  12. H

    Hizi Hapa Mechi 3 Za Over 1.5 Pekee

    Yokohama F. Marinos vs Sagan Tosu Over 1.5 Sandefjord vs Tromso Over 1.5 Columbus Crew vs Nashville SC Over 1.5
  13. H

    Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake

    (1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure. (2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda Kuangalia Mechi ya Brazil na Taifa Stars, Brazil ya Akina Kaka. (3) Manji alianzisha Week ya...
  14. H

    DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH

    Juni 27,2024 katika uwanja wa Azam Complex kutakuwa na mchezo wa kombe la Sudan (Sudanese super Cup) ambao utazikutanisha timu za Al Hilal Omdurman dhidi ya Al Marreikh zote za Sudan. Klabu hizi kwa sasa zote zipo Tanzania ambapo mbali na mchezo huu zinajiandaa kushiriki michuano ya Kagame...
  15. H

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu,Vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu!,Sasa...
  16. H

    Mechi 8 Za Over 1.5 Pekee Hizi Hapa

    Manly Utd vs Central Coast Mariners U23 Over 1.5 Melbourne Knights vs Moreland City Over 1.5 Nepean vs Mt Druitt Town Over 1.5 Blacktown Spartans vs Canterbury Bankstown Over 1.5 Froso vs Bergnasets Over 1.5 Poland vs Austria Over 1.5 Netherlands vs France Over 1.5
  17. H

    Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)

    1. GHANA Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia mikataba ili wakusumbue uvunje mkataba wapige hela waende zao. Mfano: Morison, Okrah, Asamoh, Afiz...
  18. H

    Tunaosuka Mikeka Ya Magoli Tukutane Hapa Na Mechi Hizi Za Over 1.5

    Slovenia vs Serbia Over 1.5 Tukums 2000 vs FK Liepaja Over 1.5 KuPS Akatemia vs VIFK Over 1.5 Vasalund vs Stockholm Internazionale Over 1.5 Valmiera vs Metta Over 1.5 Denmark vs England Over 1.5 Frolunda vs Astrio Over 1.5 Kumla vs Lidkoping Over 1.5 Karlbergs vs Nordic...
  19. H

    Hapa Ni Over 1.5 Pekee Mechi 8

    SD Raiders vs Rydalmere Lions Over 1.5 Croatia vs Albania Over 1.5 Narva vs Kuressaare Over 1.5 JIPPO vs Mikkeli Over 1.5 SalPa vs JaPS Over 1.5 Baladiyat El Mahalla vs Pyramids Over 1.5 Germany vs Hungary Over 1.5 HJK vs KuPS Over 1.5
  20. H

    Mkeka Wa Magoli Mechi 7 Za Over 1.5

    Newcastle Olympic vs Adamstown Rosebud Over 1.5 Paide vs Parnu JK Vaprus Over 1.5 Al Ittihad vs Al Ahly Over 1.5 Fylkir vs Vestri Over 1.5 Cruzeiro U20 vs Corinthians U20 Over 1.5 Portugal vs Czech Republic Over 1.5 Fram vs Kopavogur Over 1.5