Search results

  1. H

    MAYELE ANARUDI BONGO? Tumtegemee SIMBA, AZAM au kurudi YANGA?

    Sema wakati mwingine PICHA inaweza kubeba ujumbe, hii imestua baadhi ya watu kwani hapo ni Mr CEO wa Simba SC, Iman Kajula na mshambuliaji Fiston Mayele ambaye anakipiga pale Pyramids FC ya Misri. Kila mmoja ameweza kutunga sentensi yake kulingana na aina hii PICHA na kutoka na majibu tofauti...
  2. H

    Mbinu Zitakavyoiamua Mechi Kati Ya Asec Vs Simba

    Kwa Tanzania utakua ni mchezo ambao utafuatiliwa kwa kina kabisa kwa mashabiki wa Simba lakini pia na wapenda mpira kutoka hapa nchini mchezo wa makundi ligi ya mabingwa Afrika kati ya Asec Mimosas kutoka nchini Ivory Coast dhidi ya Simba Sc Tanzania. Unaweza kusoma zaidi kwa kugusa hapa...
  3. H

    KUTOKA AZAM COMPLEX MPAKA KUCHEZA UEFA

    KUTOKA AZAM COMPLEX MPAKA KUCHEZA UEFA KIUNGO wa Kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi (20) amejiunga na klabu ya FC Shakhtar Donetsk ya Ukraine akitokea Zulte Waregem ya Ubelgiji. Baada ya kuibukia katika akademi ya Azam FC, Miroshi alichezea Biashara United katika Ligi Kuu ya NBC...
  4. H

    NI SIMBA SC NA AL AHLY YA MISRI LIGI YA CAF OKTOBA

    KLABU ya Simba itaanza na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya Ligi ya Soka Afrika ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), maarufu kama CAF African Football League inayotarajiwa kuanza mwezi ujao. Wekundu hao wa Msimbazi wataanzia nyumbani Oktoba 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa...
  5. H

    MANULA ANAREJEA UWANJANI

    Baada ya kuwa nje kwa muda ni rasmi sasa kipa namba Moja wa klabu ya SIMBA, Aishi Manula ameanza mazoezi mepesi ya kuurudisha utimamu wake wa mwili katika Uwanja wa MO SIMBA ARENA uliopo BUNJU Manula alifanyiwa matibabu Afrika Kusini baada ya kuumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka...