Search results

  1. H

    Prof Janabi Awapa Makavu Simba & Yanga

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Kauli hiyo aliitoa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
  2. H

    Mechi 5 Za Over 1.5 Za Uhakika Hizi Hapa

    Belize vs Nicaragua Over 1.5 St Albans vs Melbourne Knights Over 1.5 Brisbane City vs Gold Coast Utd Over 1.5 Brisbane Roar U23 vs Redlands Over 1.5 Italy vs Bosnia & Herzegovina Over 1.5
  3. H

    USAJILI SIMBA: Serge Pokou Anasa Simba

    Siku za hivi karibuni iliripoti kuwa Simba imekuwa ikimfuatilia kwa ukaribu zaidi kiungo ( Serge N´guessan Archange Pokou), ambaye ni panga pangua wa Asec Mimosas, na wamekubaliana sehemu kubwa ya dili hilo, ili mwamba huyo aje kukipiga kwenye kikosi hicho msimu ujao. Ni kijana mdogo...
  4. H

    Simba Na Yanga Kupigwa Mara 3…Msimu Wa 2024/25

    HUENDA SIMBA NA YANGA zikikakutana zaidi ya mara 3 kwa msimu ujao wa mashindano, 2023/24, lakini kwa kufuata Kanuni za Ligi timu tutashuhudia Dabi ya Kariakoo mara 3 kuanzia mechi za Ngao ya Jamii. Kwa mujibu wa kanuni za ligi, mechi za nusu fainali ya Ngao ya Jamii, inashirikisha timu nne na...
  5. H

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    UKWELI WOTE KUHUSU CHAMA NA MO DEWJI KUMGOMEA PESA ANAYOTAKA Inaelezwa kwamba dili la Kiungo wa Zambia Clatous Chama kujiunga na Yanga linakaribia kukamilika, kutokana na upande wa Simba kushindwa kumtimizia mahitaji yake aliyoyataja kwenye mkataba wake mpya. Ukweli mchungu kwa baadhi ya...
  6. H

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Kijiwe hiki kinawakutanisha mashabiki wa klabu ya Simba hapa Kijiweni ambapo tuwe tunajadiliana kuhusu klabu ya Simba na mambo yake kwa ujumla kama matokeo ya mechi, usajili na mechi za timu yetu
  7. H

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Game ingepigwa kwa Mkapa tu maana ni ya FA ya Tanzania Bara sio ya Zanzibar
  8. H

    MKEKA WA LEO 05/05/2024 Za Kumaliza Wikiendi Kibingwa

    Wanangu wa mikeka hapa wala usiumize kichwa sanaaa wewe chagua timu zako ambazo unaamini kabisa zitatoa ukiamua kuufata wote pia fresh wewe tu cha msingi kupata kibunda cha mhindi tumalize wikiendi fresh. PSV - Sparta Rotterdam Halftime/Fulltime: (1/1) 1.78 Antwerp - Club Brugge KV BTS...
  9. H

    MKEKA WA LEO 04/05/2024 USHINDWE WEWE SASA

    Wanangu wa mikeka hapa chagua timu zako ambazo unaamini kabisa zitatoa ukiamua kuufata wote pia fresh wewe tu cha msingi kupata kibunda cha mhindi Arsenal - Bournemouth 1X2 & Total: (1 & Over 1.5) Birmingham - Norwich Total: (Over 1.5) Ipswich - Huddersfield Ipswich Win Leeds -...
  10. H

    MKEKA WA LEO 03/05/2024 Tunampiga Mhindi Hivi

    A. Lustenau - Austria Vienna Austria Vienna Win Almere City - Heerenveen Total: (Over 2.5) Troyes - Valenciennes Troyes Win Angers - Pau FC Double Chance: (1X) Abha - Al Ittihad Al Ittihad Win Baden - Thun 1X2 & Total: (2 & Over 1.5) Hoffenheim - RB Leipzig DC &...
  11. H

    Huko Kwenye Mkoa Unapoishi Kuna Timu Iliyopo LIGI KUU?

    Najua wana KIJIWENI kwamba wana timu zao amabzo wanazishabikia na nyingine ni kutoka kwenye mkoa husika lakini naomba kufahamu kuwa Huko Kwenye Mkoa Unapoishi Kuna Timu Iliyopo LIGI KUU? Itaje Hapa
  12. H

    NANI KUWA BINGWA WA UEFA Mwaka Huu 2024?

    Real Madrid Borussia Dortmund PSG Bayern Munchen
  13. H

    Kinachomponza Mgunda Ni 'Rangi Yake Na Utanzania Wake'

    Mengi yanazungumzwa kuhusu kocha Juma Mgunda lakini ukisoma chapisho hili kuna mengi yameandikwa wewe una lipi la kusema? Kinachomponza Mgunda Ni 'Rangi Yake Na Utanzania Wake' SOMA ZAIDI ➡️➡️ https://www.kijiweni.co.tz/kinachomponza-mgunda-ni-rangi-yake-na-utanzania-wake/ Wewe Una Maoni...
  14. H

    MKEKA WA LEO 02/05/2024 Odds 96 Za Kibabe

    Shiriki Na ADMIN Kuandaa Mkeka : Tupia CODE Ya Mkeka Wako Hapa Sasa Baada Ya Kuusuka Huu Wa ADMIN Pogon Szczecin - Wisla Double Chance: (1X) Sonderjyske - Fredericia Sonderjyske Win Zamalek - National Bank Egypt Double Chance: (1X) Al Ahli SC - Damac Al Ahli SC Win Chelsea...
  15. H

    Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI?

    Kumekua na taaarifa nyingi zaidi haswa kuhusu kauli ambayo ameitoa Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba kubwa zaidi kuhusu Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI wewe unadhani ni Sahihi kwa kauli hii? Isome kwa undani hapa...
  16. H

    Simba Au Yanga Nani Kutoboa Makundi Ligi Ya Mabingwa?

    Tunafahamu kuwa Tanzania inawakilishwa na vilabu viwili kimataifa ambao ni Simba na Yanga lakini swali kubwa ambalo niko nalo kwako mdau wa Kijiweni. Kati ya Simba Au Yanga Nani Kutoboa Makundi Ligi Ya Mabingwa? Endelea kufuatilia zaidi taarifa mbalimbali kutoka Kijiweni kwa kugusa hapa...
  17. H

    MAYELE ANARUDI BONGO? Tumtegemee SIMBA, AZAM au kurudi YANGA?

    Sema wakati mwingine PICHA inaweza kubeba ujumbe, hii imestua baadhi ya watu kwani hapo ni Mr CEO wa Simba SC, Iman Kajula na mshambuliaji Fiston Mayele ambaye anakipiga pale Pyramids FC ya Misri. Kila mmoja ameweza kutunga sentensi yake kulingana na aina hii PICHA na kutoka na majibu tofauti...
  18. H

    Mbinu Zitakavyoiamua Mechi Kati Ya Asec Vs Simba

    Kwa Tanzania utakua ni mchezo ambao utafuatiliwa kwa kina kabisa kwa mashabiki wa Simba lakini pia na wapenda mpira kutoka hapa nchini mchezo wa makundi ligi ya mabingwa Afrika kati ya Asec Mimosas kutoka nchini Ivory Coast dhidi ya Simba Sc Tanzania. Unaweza kusoma zaidi kwa kugusa hapa...
  19. H

    KUTOKA AZAM COMPLEX MPAKA KUCHEZA UEFA

    KUTOKA AZAM COMPLEX MPAKA KUCHEZA UEFA KIUNGO wa Kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi (20) amejiunga na klabu ya FC Shakhtar Donetsk ya Ukraine akitokea Zulte Waregem ya Ubelgiji. Baada ya kuibukia katika akademi ya Azam FC, Miroshi alichezea Biashara United katika Ligi Kuu ya NBC...