Search results

  1. H

    NI SIMBA SC NA AL AHLY YA MISRI LIGI YA CAF OKTOBA

    KLABU ya Simba itaanza na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya Ligi ya Soka Afrika ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), maarufu kama CAF African Football League inayotarajiwa kuanza mwezi ujao. Wekundu hao wa Msimbazi wataanzia nyumbani Oktoba 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa...
  2. H

    MANULA ANAREJEA UWANJANI

    Baada ya kuwa nje kwa muda ni rasmi sasa kipa namba Moja wa klabu ya SIMBA, Aishi Manula ameanza mazoezi mepesi ya kuurudisha utimamu wake wa mwili katika Uwanja wa MO SIMBA ARENA uliopo BUNJU Manula alifanyiwa matibabu Afrika Kusini baada ya kuumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka...