Search results

  1. Kijiweni

    Mapya Yaibuka ‘Uraia Wa Mchongo’ Wachezaji Wa Singida Black Stars

    Hatimaye sakata la wachezaji watatu nyota wa timu ya Singida Black Stars (SBS) kupewa uraia wa Tanzania, limetinga kortini. Wakili Peter Madeleka amefungua kesi ya kikatiba akidai utoaji huo wa uraia ulikiuka Katiba ya Tanzania. Kesi hiyo ya kikatiba imesajiliwa Mahakama Kuu Masjala ya Dodoma...
  2. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Ijumaa 07/02/2025 Mechi 6 Ligi Kubwa Ulaya Na Afrika

    Date Matches Tip Results 20:00 07/02 EGY Zamalek - El Ismaily 1 20:00 07/02 CYP Omonia 29th May - Omonia 2 21:00 07/02 FRA Nantes - Brest 1X 22:45 07/02 ENG 2 Mansfield - Northampton 1X 23:00 07/02 SPA Rayo Vallecano - Valladolid 1 23:00 07/02 FRA PSG - Monaco 1
  3. Kijiweni

    FULL TIME : Fountain Gate FC 1 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate FC kutokea Manyara dhidi ya Simba umemalizika salama katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare ya bao 1 kwa 1 Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
  4. Kijiweni

    Nchi Ya Qatar Kuamua Hatma Ya Wapinzani Wa SIMBA Kombe La SHIRIKISHO La CAF

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza tarehe ya droo ya robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kwa timu zilizofuzu hatua hiyo msimu huu ambapo pia limepanga tukio hilo kufanyika Doha, Qatar Februari 20. Baada ya kumaliza katika nafasi ya kwanza...
  5. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Alhamis 06/02/2025 Mechi 8 Zenye Option Tofauti tofauti

    Date Matches Tip 16:00 06/02 TUR CUP Boluspor - Galatasaray 2 19:00 06/02 UAE Ittihad Kalba - Al Sharjah 2 20:45 06/02 TUR Goztepe - Gaziantep 1 21:30 06/02 SPA CUP Real Sociedad - Osasuna 1X 22:30 06/02 SWI Basel - Luzern 1 22:30 06/02 SWI Winterthur - Zurich X2 23:02 06/02...
  6. Kijiweni

    FULLTIME: Yanga SC 6 KenGold FC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya KenGold umemalizika katika uwanja wa KMC Kwa WANANCHI kuondoka na ushindi wa Mabao 6 Kwa 1 WAFUNGAJI : ⚽ ⚽Dube ⚽ ⚽Mzize ⚽ Pacome ⚽ Duke Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
  7. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Jumatano 05/02/2025 Mechi Za Magoli Ya Over 1.5 Pekee

    05/02 Italy - Coppa Italia Primavera Fiorentina U20 - Cagliari U20 Over 1.5 16:00 05/02 England - Development League Wigan Athletic U21 - Crewe Alexandra U21 Over 1.5 20:30 05/02 Turkiye - Cup Fenerbahce - Erzurumspor FK Over 1.5 20:45 05/02 Netherlands - KNVB Beker PSV...
  8. Kijiweni

    Umeipokeaje Taarifa Hii Ya Singida Black Stars Kuhusu Kocha Wao? Una Kipi Cha Kusema Mwana Kijiweni?

    Klabu ya Singida Black Stars imesema imepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa taarifa ya kocha wao Hamdi Milaoud kutambulishwa na Klabu ya Yanga bila kufuata utaratibu, hivyo uongozi unalifuatilia jambo hilo.
  9. Kijiweni

    Ramovic Kusepa Yanga | Mwananchi Wa Kijiweni Umeipokeaje Taarifa Hii?

    Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Saed Ramovic katika Mazoezi ya jioni ya leo kuelekea Mchezo dhidi ya KenGold ametumia muda huo kuwaaga Wachezaji na benchi lake la ufundi kuwa baada ya Mchezo huo ataondoka rasmi Klabu hapo.
  10. Kijiweni

    Kauli Ya Kocha Wa Yanga Kuelekea Mchezo Wa Ligi Kuu Yanga vs KenGold | Tabiri Matokeo Ya Mchezo Huu Hapa

    Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya KenGold kutoka Chunya jijini Mbeya , Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Saed Ramovic amezungumza na waandishi wa habari na kusema haya yafuatayo "Kesho tutakabiliana na timu ambayo imepata wachezaji wapya wengi. Pia Kocha wao ana mtindo wake...
  11. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 03/02/2025 Mechi 8 Za Kibingwa

    Date Matches Tip 21:00 03/02 CYP Anorthosis - APOEL AWEH 22:00 03/02 NED Jong Utrecht - Jong Ajax BTTS 22:00 03/02 NED 2 De Graafschap - Den Haag 1X 22:45 03/02 ITA Cagliari - Lazio X2 22:45 03/02 POR Rio Ave - FC Porto 2 23:00 03/02 SPA Levante - Racing Club Ferrol 1 23:00...
  12. Kijiweni

    FT : Tabora United 0 Simba SC 3 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    Nyuki wa Tabora wanakubali kichapo Cha bao 3 Kwa sifuri kutoka kwa wekundu wa Msimbazi mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora WAFUNGAJI: ⚽ ⚽Ateba ⚽ Kapombe
  13. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Jumapili 02/02/2025 Mechi 6 Kubwa Za Kufunga Wikiendi

    Date Matches Tip 14:30 02/02 ITA Juventus - Empoli 1 16:30 02/02 SPA Barcelona - Alaves 1 17:00 02/02 EPL Manchester Utd - Crystal PalaceCrystal 1X 19:30 02/02 GER Bayer Leverkusen - Hoffenheim 1 19:30 02/02 EPL Arsenal - Manchester City BTTS 22:00 02/02 NED Willem II - AZ...
  14. Kijiweni

    FT : Yanga SC 4 Kagera Sugar 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar umemalizika kwa Wananchi 🔰 kuondoka na alama 3 pamoja na Magoli 4 . WAFUNGAJI ⚽ Mzize ⚽ Mudathir ⚽ Pacome ⚽ Musonda Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
  15. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Jumamosi 01/02/2025 Mechi 15 Za Ligi Kubwa Ulaya

    15:30 England - Premier League Nottingham Forest Brighton Over 2.5 1.90 17:00 Italy - Serie B Sassuolo Juve Stabia Home Win 1.60 17:30 Germany - Bundesliga Stuttgart Borussia M'gladbach Over 2.5 1.44 17:30 Germany - Bundesliga Bayern Munich Holstein Kiel Over 3.5 1.44 18:00 England -...
  16. Kijiweni

    Ligi Kuu Ya NBC Inarejea , Una Jambo Gani La Kuwashauri Waamuzi?

    Ligi Kuu ya NBC ligi ya nne kwa ubora barani Afrika inarejea wikiendi hii febuari 1 baada ya mapumziko ya takribani mwezi mmoja . Ligi hiyo itaanza kwa michezo miwili ya viporo vya mzunguko wa 16 ambavyo ni mechi za Yanga dhidi ya Kagera Sugar Februari 1 katika uwanja wa KMC mkoani Dar es...
  17. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo 31/01/2025 Wa Kuifunga January Kibingwa Na Mechi Za Magoli Ya Over 1.5 Pekee

    20:30 31/01 Germany - 2. Bundesliga Nurnberg - Darmstadt Over 1.5 22:00 31/01 France - Ligue 2 Grenoble Foot 38 - Rodez Over 1.5 22:00 31/01 Netherlands - Eerste Divisie Dordrecht - De Graafschap Over 1.5 22:00 31/01 Netherlands - Eerste Divisie ADO Den Haag - Eindhoven...
  18. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Alhamis 30/01/2025 Mechi Za UEFA EUROPA LEAGUE

    Date Matches Tip 23:00 30/01 UEL Ath Bilbao - Plzen 1X 23:00 30/01 UEL Ajax - Galatasaray BTTS 23:00 30/01 UEL AS Roma - Eintracht Frankfurt 1X 23:00 30/01 UEL Braga - Lazio 1X 23:00 30/01 UCL FCSB - Manchester Utd 2 23:00 30/01 UCL Tottenham - Elfsborg 1
  19. Kijiweni

    Mkeka Wa Leo Jumatano 29/01/2025 Mechi Za Ligi Ya Mabingwa Ulaya

    Date Matches Tip 23:00 29/01 UCL Juventus - Benfica 1X 23:00 29/01 UCL D. Zagreb - AC Milan 2 23:00 29/01 UCL Girona - Arsenal 2 23:00 29/01 UCL Brest - Real Madrid 2 23:00 29/01 UCL Barcelona - Atalanta 1X 23:00 29/01 UCL Dortmund - Shakhtar Donetsk 1 23:00 29/01 UCL Aston...
  20. Kijiweni

    Unakubaliana Na Kauli Hii Ya Kocha Mkuu Wa TAIFA STARS Kuhusu Makundi Ya AFCON 2025? Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Ungemwambia Kipi?

    Kaimu kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Seleman 'Morocco' ametoa mtazamo wake na namna watakavyokiandaa kikosi kwenda kushindana na sio kushiriki pekee katika michuano itakayoanza Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 nchini Morocco, Taifa Stars imepangwa kundi C na...