HUENDA SIMBA NA YANGA zikikakutana zaidi ya mara 3 kwa msimu ujao wa mashindano, 2023/24, lakini kwa kufuata Kanuni za Ligi timu tutashuhudia Dabi ya Kariakoo mara 3 kuanzia mechi za Ngao ya Jamii.
Kwa mujibu wa kanuni za ligi, mechi za nusu fainali ya Ngao ya Jamii, inashirikisha timu nne na...