Search results

  1. Smooth Criminal

    Timu Gani Inaongoza Kwa Kuwa Na Mashabiki Wenye Shangwe Sana LIGI KUU YA NBC?

    Mashujaa hakuna wa kuwafikia kwa vibe la mashabiki
  2. Smooth Criminal

    TFF Yaamuliwa Kulipa Mamilioni , Kosa Latajwa Na Mahakama

    Ndo maana adhabu zimekuwa nyingi kwa timu na viongozi, kumbe ilikuwa kasi ya kupata fedha za kulipa deni. Lakini wapi, mamae!🤣🤣🤣
  3. Smooth Criminal

    Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

    Msala season two ndo tatizo kubwa linalozikwamisha yanga na simba
  4. Smooth Criminal

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Tumezuiliwa kucheka, usije ukafungiwa😔
  5. Smooth Criminal

    Wasemaji Simba Na Yanga Punguzeni Komedi, Mnaboa Watu Wazima

    Kama wewe ni mtu mzima achana na wasemaji fuatilia mpira tu, Enjoy mafao yako ya uzeeni. Mtu unataka userious kwenye kila idara kisa wewe ni mtu mzima, unataka dunia ikufuate unachokitaka.
  6. Smooth Criminal

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Na vipi kuhusu virtual sports ya bet pawa, coz matokeo kwa watumiaji wote ni ya aina moja