Search results

  1. F

    MWANANCHI 🔰 Panga Kikosi Chako Cha Leo Vital'O vs YANGA SC

    Wakwanza mazoezin ndio anapata namba hatuwez umiza kichwa mechi kama hiii
  2. F

    FT : SIMBA SC 2 APR 0 : Umeionaje Klabu ya Simba? Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?

    Inacheza ila bado hakuna chemistry ya kiteam Bado simba hauja onyesha ile hali ya kuwa team mchezon
  3. F

    Ratiba Kamili Ya Yanga Kujiandaa Na Msimu wa 2024/2025 Umeionaje?

    Ya mechi za yanga pre season zinafatiliwa kama ulaya ukiwa mkubwa hata maji ukinywa watafatilia unakunywa je
  4. F

    Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

    Ila tanzania umaskin na ufukara tunautaka wemyew Hersi mpaka afrika imeona laz yake waka mpitisha kuwa rais wa vilabu alaf kuna vizee vilivyo goma kufa vinasumbua Weeee Kuna mtu ambaye hatak raha kama wanazopata wananchi Yan leo nimejua hata wahuni nao wanazeekaga
  5. F

    Je, Baleke Aliihujumu Simba? Wachezaji Wa KiCongo Siyo Waaminifu

    Usimba na uyanga upo had ndan ya simba na yanga cha muhimu kula vizr na jiran ile asivuruge sana hata kama ni mnafik
  6. F

    NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

    Wa mweke kijana mmoja m,bunifu Awe CEO pale apige kazi kama hersi na beckham Awa wazee wana mbinu za kale sana na mpira wa saiv ni wakibiashara zaid
  7. F

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Wa mpe mkataba wa mwaka mmoja tena wasiongeze sisi wabongo tunajijua