Manchester City anachukua Tena Kama timu ndogo hazitakuja kutu surprise maana anaanza na timu ngumu Ila mechi zake 10 za mwisho Ni dhidi ya timu ndogo mechi zisizo na presha tukiwatoa MAN UTD, CRYSTAL PALACE na ASTON VILLA wanabaki wakina Southampton, Ipswich, Fulham, Brentford, wolves etc na...