John Raphael Bocco papaa captain fantastic kabisa kutokea nchini nidhamu yake magoli aliyoyafunga maisha yake nje ya uwanja na ndani ya uwanja ameacha alama kubwa sana katika soka la nchi yetu na ameacha kazi kubwa kwa vijana kuvunja rekodi zake
NI HIVO TU KWA LIVING LEGEND PAPA JOHN RAPHAEL...