Search results

  1. O

    Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

    Hawa wazee wakae pembeni wakae kwa kutulia kabisaaaa... Waliongoza yanga kipind hicho yanga ikawa omba omba hakuna mwelekeo timu ikawa hohehahe kama kaptula la jalalani. Hivi wakiachiwa uongozi hao wazee wanaweza sajili wachezaji? Hivi wanaeeza fanya competition ya team branding kama anavyofanya...