Fadlo davs kazi aliyobakiza hapa simba ni kutengeneza combination ya defenders na midfielder ambayo itapunguza mianya ya kuruhusu mashambulizi na magoli mengi
Ifike mda tuache tabia za kung'ang'ania wachezaji kibu kwa haraka haraka Hana Nia na simba tena ni vile tu wamalazimisha , hana molali na timu avunje mkataba kabla dirisha la usajili halijafungwa tisajili mbadala wake chapu