Search results

  1. F

    WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?

    Apo upaswi kutoa majibu ya kulaumu upande mmoja make singida wameongea Yao na mwenda kaongea yake ko tusubiri kwanza ila kazi iendelee 👍
  2. F

    FT : NBC PREMIER LEAGUE SIMBA SC 3 TABORA UNITED 0 , Umeionaje Simba Ya LIGI KUU?

    Kiwango kikubwa alicho onyesha mnyama akuna wa kupinga hilo hii Simba ni suala la mda ni Moja ya bonge la timu🔥🔥🔥🔥
  3. F

    Panga Kikosi Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa Mchezo Wa Ngao Ya Jamii

    Camara Show me the way Captain Electric get Inspector Disconnecter SGR Awesu Striker refu Debruyne ahoua Free kick master balua
  4. F

    Panga Kikosi Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa Mchezo Wa Ngao Ya Jamii

    Camara Kapombe Hussein Chemalone Chamuor Fenandez Mtale Awesu Mkwala Ahoua Balua
  5. F

    Mmekionaje Kiwango Cha YANGA? Unadhani Wanapaswa Kuboresha Eneo Gani?

    Naomba kujua timu inayocheza na Simba mda huu international friend match ni ya ligi kuu ya Saudi Arabia au dalaja la ngapi , ni nafasi yake misimu iliopita kwenye mashindano
  6. F

    DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH

    Ni kweli kabisa kwani pia inajenga picha nzuri tuzidi kuonyesha upendo soka juuu, Love 🇹🇿 football welcome too❣️