Search results

  1. N

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makini…Simba No Stress

    kwenye ubavu ya Adam alitoka Hawa, Kwa Yanga alitoka Simba (fuatilia historia ya vilabu hivi) nani mama, na nani baba? Adam au Hawa, Yanga au Simba? 😅
  2. N

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Tumia martingale + ×3 hachomoki, hii formula mtavutana mwisho wa siku atatoa pesa tu, Wale wa betpawa virtual formula zipo pia 😄
  3. N

    Ratiba Kamili Ya Yanga Kujiandaa Na Msimu wa 2024/2025 Umeionaje?

    Nawaona mabingwa wapya wa Africa, nyenendo zote za kujiandaa kama bingwa wanazifuata na kuzizingatia HALA YOUNG AFRICANS Y NADA MAS 🔰
  4. N

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makini…Simba No Stress

    "Sio mala ni mara" . Tukiwaona wanasimba na simba yao utadhani wapo serious, kumbe wapo shirikisho 😂. Nilifika final huko uliko wewe, sasa na ww fika kama final ni kisigino😂🖐
  5. N

    Usajili Wa Chama Kwenda Yanga -Yanga Hamueleweki, Sijui Mna Shida Gani!

    Sa itakuaje meneja 🤣🤣 🦁🤣🤣 ni 🖐 tena au 🙌🖐 Ila 🔰 au basi eh
  6. N

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    Utadhani wapo serious kumbe wapo shirikisho😅🤣🤣🤣 Ankali grezabhai kawaachia manyoya nipo nae huku dubai😇😅🤣🤣🤣🤣🤣
  7. N

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makini…Simba No Stress

    Ukiwaona utadhani wapo serious kumbe wapo shirikisho😅🤣🤣🤣
  8. N

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makini…Simba No Stress

    Uzoefu gani alionao simba? kapigwa kama ngoma msimu uliopita nation al ahly wamempasua simba nje ndani uzoefu gani, tusiishi kwa kukariri.