Search results

  1. S

    Yupi Mchambuzi Wako Bora Wa Mpira Wa Miguu Tanzania? Ukikutana Nae Utamshauri Nini?

    Salama ngale, mtu na nusu Namshauri aendelee kupambana atafika mbali inshallah
  2. S

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Kibuu?! Hahahahahaha!. Maisha bwana....! Mwacheni jamani maisha popote naamini ajakurupuka kufanya ayo maamuzi. MAY GOD BLESS HIM IF HE HAS DECIDED TO FIND LIFE IN ANOTHER PLACE......,,,!
  3. S

    Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Pamoja apo kakah, jamaa huenda amenunuliwa kuwatomhanisha chama na mashabiki wa Simba 😂
  4. S

    Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Kakah unataka wapewe majina gani AIR MANURA, MKANDAJI n.k si nisehemu ya sita izo pia au unataka kuwatomhanisha mashabiki wa Simba na chama?
  5. S

    Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia?

    Binafsi naipenda simba sc Kitu ambacho sikipendi katika timu yangu ni kwamba mashabiki wa timu yangu ni watu wa kulalamika Sana mpaka wanaboa sometime moja Yan
  6. S

    FEITOTO Kwenda Simba Inawezekana Au Ni Stori Za Kupunguza Maumivu Ya CHAMA?

    Kimya kingi kinamshindo ngoja tuone wanangu Akija itakua unyama mwingiiiiiiii!!!!!!! Au sio wanamsimbazi......???!