kutoka simba lilikua ni jambo zuri ili kulinda kipaji chake na karia yake hila shida kubwa ni management yake kutokuwa na maamuzi sahihi wakati sahihi kwann nimesema haya,
management hasa kwa wachezaji wa kulipwa ndiyo muhimili na kioo cha mchezaji, 99% ya maamuzi ya wachezaji uhamuliwa na...