Search results

  1. Y

    Nani Umetamani Angekuwepo Kwenye Kikosi Hiki?

    Kikosi ni kizuri lakini inamaana Job na Moroco ugomvi wao haujaisha
  2. Y

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Mimi sijafurahishwa kabisa kwasababu watu wa manyara wamejipanga kuna watu manyara waliona fursa imekuja nyumbani alaf sababu yakufanya hii michuano mechi za nusu na fainali kuzuepeleka mikoani niili kuongeza chachu katika hiyo mikoa isiyokua na timu ligii zipambane ili wawe na timuligi kuu
  3. Y

    Shaffih Dauda vs Zaka Zakazi Nani Yuko Sahihi?

    Wanakijiweni kwangu mimi wote wawili shaffii dauda na zakazakazi wote nawaunga mkono kwamaana Kila mmoja maoni yake yanamaana na umuhimu lakini tukumbuke hata simba na Yanga ni kwakipindi gani wamekua wakishiriki michuano ya kimataifa na walikua hawafiki mahali mpaka pale ambapo simba...