kweli kazi simba ipo maana kunashabik na mjua mpira ukweli nikwamba simba bado sana watakuja kukaa sawa ndio ila kwakuchelewa sana mkisema kujitafuta mnakosea wale niwachezaji mjue wametoka kwenye timu nzuri wote kwenye soka hakuna ugeni mchezaji bora ni bora tu mbona ukweli simba bado wafungaji...