Na
Napenda sanaaa watumie 4:3:3 kwa sababu sie hiyo mechi tunahitaji ushindi alafu wale wanajua mpira sio wa kuweka straika mmoja et awasumbue mabeki wale huo ni uongo ulio dhahir maana inatakiwa tujue al ahli tripoli ya zamani sio ya sasa hivi ya sasa hivi ina wachezaji wazuri sio wa kuwawekea...