Search results

  1. A

    Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

    Clatous chota chama ila msinitukane😂😂😂
  2. A

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Kama sikosei hii ni mara ya kwanza Kwa fainali ya shirikisho kupigwa Zanzibar isitoshe fainali zilizopita tumezishuhudia zikipigwa bara... Sioni kama kuna ubaya katika hilo
  3. A

    Shaffih Dauda vs Zaka Zakazi Nani Yuko Sahihi?

    Anachokisema Shafii dauda ni Sahihi..linapokuja suala la Mashindano ya kimataifa Azam wamekuwa wanyonge sana na ndio maana wafanyabiashara wa mpira wanaomba simba aende klabu bingwa ..lakini Sasa Azam inabidi ajipambanue msimu amalize nafasi ya pili, Kisha akatoe ushindani klabu bingwa na...
  4. A

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    Golden goal irudi kama zamani ukipigwa goli mechi imeisha